Kutana na Hadija Alisido, mama huyu wa watoto wanne, mkulima kiongozi na mtoa chanjo ya ugonjwa wa kideri unaokumba kuku katika wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma, kaskazini-magharibi mwa Tanzania.
WAJASIRIMALI kutoka Halmashauri ya Wilaya Kigoma ambao wamepokea mikopo kutoka halmashauri hiyo kwa ajili ya kuimarisha ...
Kama unaishi kwenye mikoa hii 25 nchini chukua hatua kwa kuwa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetabiri mvua kubwa itakayonyesha siku tatu kuanzia leo Machi 9, 2025.
Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.
MBUNGE wa Jimbo la Buhigwe Wilaya ya Buhigwe mkoani Kigoma, Felix Kavejuru amekabidhi mabati 87 kwa zahanati ya kijiji cha ...
SERIKALI imetoa Sh. bilioni 78.88 kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa miundombinu ya kisasa ya kujifunza na kufundishia katika ...
Watanzania 19,371 wameajiriwa kwenye kampuni za uchimbaji wa madini katika kipindi cha kati ya mwaka 2021/22 hadi Januari ...
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania kukemea vitendo vya ukatili ulioshamiri dhidi ya wanawake na watoto na kuhakikisha hatua stahiki zinachukuliwa dhidi ya wahusika. Ametoa kau ...
WAKATI KenGold na Mashujaa zikishuka uwanjani leo, makocha wa timu hizo wamepiga hesabu kali kila mmoja akisisitiza pointi ...
Na Mwandishi Maalum Wafanyakazi wapya wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wametakiwa kutojiingiza katika vitendo vya rushwa vitakavyosababisha kudhorotesha utoaji wa huduma bora katika ...