JESHI la Polisi mkoani Mbeya,limepiga marufuku mtu yeyote kupiga au kulipua milipuko (Fataki) bila kuwa na kibali cha jeshi hilo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishna Msaidizi wa Polisi(SACP) ...
Mwaka uliofuata, hakimu alikubaliana na wafanyakazi hao, lakini katika uamuzi wake aliruhusu Idara ya Misitu kuendelea kuitumia huku ikitafuta kibali cha kuitumia kutoka kwa Wakala wa Ulinzi wa ...