Katika chapisho la mtandao wa kijamii, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema yeye na wafanyikazi walikuwa karibu kupanda ndege wakati uwanja wa ndege ulipopigwa na angani.
Hapo mwanzoni, upepo wa Santa Ana kama unavyotambuliwa – huwa mkali na hupiga kutoka baharini kuingia ndani kwenye bara – na ...
Haijabainika iwapo itifaki ya angailiofungwa - inayojulikana kama "mpango wa zulia" - ilipitishwa ... na eneo la tukio inaonyesha ndege hiyo ikishuka kwa kasi angani kabla ya kuanguka ardhini ...
Wananchi wa Kata ya Uru Shimbwe, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamelalamikia kusitishwa kwa ujenzi wa mnara wa mawasiliano uliokuwa unajengwa, hali inayowafanya kuendelea kuishi ...
Jeshi la Sudan limetangaza mafanikio makubwa baada ya kukomboa mji wa Wad Madani, mji muhimu mashariki mwa nchi hiyo, kutoka ...
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer amewasili mjini Kyiv siku ya Alhamisi asubuhi, Januari 16, kutia saini ushirikiano wa ...
Dakika chache baada ya mashambulizi hayo, Tedros aliandika kwenye ukurasa wa akaunti yake ya X (zamani Twitter): “Wakati tukisubiria kuingia kwenye ndege yetu kutokea Sana’a, saa kama mbili ...
Mbunge aitaka Urusi kubeba lawama na kutoa fidia Mbunge wa Azerbaijan, Rasim Musabekov, alidai kuwa ndege hiyo ilipigwa na mfumo wa ulinzi wa anga wa Urusi wakati ikipita angani juu ya Grozny na ...
Israel ilifanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo kadhaa yanayohusiana na Wahuthi nchini Yemen, yakiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ... yaliyotajwa kama ishara ya mshikamano na Wapalestina.
Mamlaka za Urusi juzi Jumatano zilitoa kile zilichokielezea kuwa ni taarifa ya awali. Zimesema ajali hiyo huenda ilisababishwa na ndege wa angani waliopiga injini ya ndege.
Vyombo vya habari nchini Korea Kusini vinasema polisi wamefanya upekuzi kwenye ofisi za shirika la ndege la Jeju Air na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Muan kama sehemu ya uchunguzi wao kufuatia ...
Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus, Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Ulimwenguni, WHO amenusurika katika tukio la shambulizi la leo Alhamisi, Desemba 26 baada ya ndege za Israel kushambulia ...