Ni hali imesababishwa na kusogea kwa jua la utosi, sambamba na upungufu wa mvua unaojitokeza katika maeneo hayo ... kiwango cha juu zaidi cha nyuzi joto 36.0°C kilifikiwa Februari, ikiwa ni ongezeko ...
Gambo ameyasema hayo leo Jumatano Februari 19, 2025 wakati akizungumza na na Wazee wa Wilaya ya Arusha huku akiwahimiza kumchagua kwa kishindo Rais Samia kwenye uchaguzi mkuu ujao, akisema mkutano ...
Dar es Salaam. Ikiwa leo ni Jumatano ya Majivu mwanzo wa mfungo wa siku 40 wa Kwaresma, Wakristo wamekumbushwa kutenda mema, kujinyima na kuwakumba wenye mahitaji. Sambamba na hilo katika mfungo huu ...
Naibu Mkuu wa Jeshi, Jenerali Gabriel Duop Lam, mshirika wa Machar, alizuiwa Jumanne iliyopita, huku Waziri wa Petroli, Puot Kang Chol akikamatwa Jumatano pamoja na walinzi wake na familia yake ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果