Wakimbizi hawajafanikiwa kurejea katika majumba yao na wimbi jipya la machafuko na uhamaji umeongeza shinikizo na hivyo kuiongeza idadi ya wakimbizi wa ndani. Waangalizi wa kimataifa wamesema ...
Shirika hilo limeieleza hali hiyo kama wimbi baya kabisa la watu kulazimika kuyakimbia makazi yao kuwahi kushuhudiwa katika kipindi cha miaka miwili, huku jumla ya watu 40, 965 mjini Port-au ...
Watafiti nchini Japani wanasema wamefanikiwa katika jaribio ambalo ni sehemu ya mradi wa kutuma umeme wa jua uliozalishwa anga za juu hadi duniani kwa njia ya mawimbi maikro. Walifanikiwa kutuma ...
Katika shambulio la pili, "Operesheni Sadeq Promise 2," mnamo tarehe 1 Oktoba mwaka huu, Iran ilizindua wimbi la mashambulizi ya makombora kwa makombora zaidi ya 180, ikiwa ni pamoja na kombora la ...
Nchini Ghana, rais wa zamani John Dramani Mahama alipata ushindi mkubwa na kumaliza uongozi wa miaka minane wa chama tawala New Patriotic Party (NPP) chake rais Nana Akufo-Addo, anayeondoka ...
© 2024 BBC. BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo wetu wa viambatanishi vya nje.
“Kumekuwapo na wimbi la wananchi kutumia dawa pasipo vipimo vya daktari, kutomaliza dawa kwa muda sahihi na wengine kutumia dawa za binadamu kwenye mifugo, niwaombe mkipata changamoto yoyote ya afya ...
Ofisa Uhamiaji wa Wilaya ya Kahama, Salumu Rashidi, alikiri kuwepo kwa wimbi la watoto wa mitaani kutoka Burundi na wengi wanafanyishwa kazi za ndani na biashara ndogo ndogo na kinamama. Hivyo, ...
‘Kuishi kwingi ni kuona mengi.’ Waswahili walisema. Juzi baada ya mchezo wa CAF wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Yanga dhidi ya Al Hilal ya Sudan, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar Es Salaam, ...
Amesema lengo la kutolewa elimu hiyo ni kuwepo kwa changamoto katika taasisi za umma kwenye kuhakiki risiti kwa vile imeonekana kuna wimbi la kupelekewa risiti ambazo si sahihi pindi wanapofanya ...
Mkazi wa Forest jijini hapa, Tausi Azole ameliomba Jeshi la Polisi kuweka mkazo wa doria za mara kwa mara kutokana na kuwepo kwa wimbi la biashara ya bangi ambayo imechangia kupunguza nguvu kazi kwa ...