Nchini Ghana, rais wa zamani John Dramani Mahama alipata ushindi mkubwa na kumaliza uongozi wa miaka minane wa chama tawala New Patriotic Party (NPP) chake rais Nana Akufo-Addo, anayeondoka ...
“Kumekuwapo na wimbi la wananchi kutumia dawa pasipo vipimo vya daktari, kutomaliza dawa kwa muda sahihi na wengine kutumia dawa za binadamu kwenye mifugo, niwaombe mkipata changamoto yoyote ya afya ...
Uwanja wa Qiddiya Coast utakuwa na muundo wa mawimbi ya maji ili kuonyesha muonekano wa wimbi la Mexico, huku Uwanja wa Prince Mohammed bin Salman huko Riyadh ukiwa juu ya kilele cha milima.