Haki za wanawake zilichukua nafasi muhimu katika utawala wa kijeshi wa Jenerali Mohamed Siad Barre, lakini ukandamizaji na ukatili wa kifedha ulioambatana na utawala wake ulishuhudia athari kubwa kwa ...
Ukwepaji sheria umekuwa ndio alama ya mzozo wa Syria. Umekwamisha utatuzi wa mzozo na umekuwa changamoto kubwa kwa maadili ya msingi ya Umoja wa Mataifa ambayo ni uwajibikaji. Wakati wote wa mzozo, ...
Kutoka kuwa mkulima mdogo anayelima kipande cha ekari moja na nusu, Nana Pissa sasa ni mama mwenye furaha ambaye ameshuhudia watoto wake wote sita wakisoma shule za chaguo lake wakifaulu hadi kufikia ...
Lakini saa sita mchana siku ya Jumanne, na kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa RFI, wimbi la wanajihadi kwenye pikipiki liliingia kijijini, idadi yao ilikuwa kubwa zaidi kuliko ile ya wanajeshi.
Lakini kujiondoa Tartous kutakuwa na gharama kubwa, na Van Lokeren anasema hatua hiyo pia italeta meli za Urusi karibu na kambi za Nato, na kuzifanya ziwe rahisi kufuatiliwa. Kwa sasa, anasema ...
Picha na Beldina Nyakeke Musoma. Baadhi ya wakazi wa Musoma, mkoani Mara, wamesema kuwa gharama kubwa za huduma za wanasheria ni miongoni mwa sababu zinazowafanya wengi kushindwa kupata haki zao ...
Hata hivyo, sasa hivi Mwarabu anautaka mpira. Anaupenda zaidi. Anatumia pesa zake kuhakikisha jambo kubwa linakuwa dogo. Majuzi wakubwa wenye mpira, hapana shaka baada ya kupokea bahasha nzuri, ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji ...
Ombi hilo halikuwa linaashiria kambi kubwa bali lilikuwa la kuondolewa kwa wanajeshi waliokuwa katika maeneo tofauti za nchi. Wiki chache tu zilizopita, wanajeshi wa Urusi walipelekwa katika ...
Kilimanjaro, Singida. Ukistaajabu ya Musa, utaona ya Firauni, ndivyo unavyoweza kueleza hali inayowakumba wakazi wa maeneo ya Same, mkoani Kilimanjaro kutokana na tembo kuwa tatizo kubwa, wakifanya ...