Nilimwomba anionyeshe jinsi ya kuchora. Lakini alifariki nikiwa mdogo.’’ Mama yake hakuunga mkono ndoto zake za kuwa msanii. Wala majirani zake, ambao walimshtumu kuwa si Mwislamu. Waislamu ...
Akilihutubia taifa katika siku ya mwisho ya 2024, Kansela Olaf Scholz amesema hatima ya Wajerumani iko mikononi mwao wenyewe na njia ya kusonga mbele ni "kusimama pamoja kwa nguvu." Huku Ujerumani ...