Maafisa hao wawili wa zamani wa Mossad waliambia shirika la habari la CBS la Marekani jinsi huduma hiyo ilivyowalaghai Hezbollah katika kununua maelfu ya vifaa vya mawasiliano bila kutambua kuwa ...
Mradi wa pamoja wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO ujulikanao kama Nabta kwa lugha ya Kiarabu ukimaanisha "mche" ambao lengo lake ni kuwasaidia vijana wajasiriamali kubadili ...
Mradi wa pamoja wa shirika la Umoja wa Mataifa la chakula na kilimo FAO ujulikanao kama Nabta kwa lugha ya Kiarabu ukimaanisha "mche" ambao lengo lake ni kuwasaidia vijana wajasiriamali kubadili ...
Maelezo ya picha ... Mashahidi walieleza jinsi watu walivyotekwa na kuuawa kwa risasi wakijaribu kutoroka. Akitoa taarifa kwa BBC, msemaji wa kikosi cha RSF alikanusha kuwa kikosi chao ...
Hizi ni kesi za jinai dhidi ya mwanasiasa huyo maarufu nchini, aliyewahi kuwa Meya wa Manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam. Jacob, anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu ...
Utafiti uliofanywa na kundi moja la utafiti nchini Japani unaonyesha kwamba mmoja kati ya wanafunzi wanne wa sekondari ya chini na juu nchini humo anashukiwa kuwa na uraibu wa intaneti. Maabara ya ...
Hali hii inamfanya mtumiaji asione uzuri wa maelezo kuwa Dar es Salaam ina mtandao kabambe wa barabara na pia inamkera asipende usafiri wake ambao ni kama gereza ndani ya barabara. Mwaka jana 2023 ...
Aidha, alihamasisha wanafunzi kuwa na tabia ya kupanda miti hata wakiwa majumbani kwao. “Miti iliyopandwa ni ya matunda, mbao, na kivuli, na zoezi hili ni endelevu. Wilaya ya Kahama inakabiliwa na ...
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Al Talaba ya Iraq, Simon Msuva amesema bado hajaingiziwa pesa zozote kutoka Wydad AC anazowadai. Msuva aliishtaki Wydad Shirikisho la ...
Kwa umbali ndani ya mfumo wa Jua kuna pia "kizio astronomia" (ing. astronomical unit) ambayo ni sawa na umbali wa wastani kati ya Dunia na Jua. Kizio astronomia ...
Kikosi cha Kujihami cha Majini cha Japani-MSDF kinatarajiwa kutia nanga kwa mara ya kwanza katika kambi ya ... Wamedumisha uhusiano mzuri na washirika wao wa Japani. Japani imekuwa ikidumisha ...