Wanasema Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti – kudhibiti kwa ukali uuzaji wa pombe, kuimarisha elimu kwa jamii, na ...
Amesema hayo alipozungumzia namna Serikali ilivyotekeleza malengo 17 ya Maendeleo Endelevu (SDG) ambayo ndani yake lipo linaloelekeza kuhusu huduma bora za afya.