Dar es Salaam. Mfanyabiashara Vicent Masawe (36) maarufu Bwana harusi, anayekabiliwa na mashtaka ya wizi wa gari na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu amepata dhamana. Masawe aliyekula sikukuu za ...