WAKATI Tanzania Prisons na Ken Gold zikiendelea kuchechemea kwenye Ligi Kuu, chama cha soka mkoani Mbeya (Mrefa) kimezitaka timu hizo kutekeleza ushauri wa kamati ya mashindano ili kukwepa aibu ya ...
MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Eliud Ambokile amesema msimu huu kuna uwezekano mkubwa wa kukipigania kikosi hicho ili msimu ujao kirejee tena Ligi Kuu Bara, kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo baina ...
Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani mkoani Mbeya, SP Notker Kilewa akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi Imezu wakati wa elimu ya usalama barabarani. Picha na Saddam Sadick Mbeya.
OFISI ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Kampuni ya MC Edwin Luvanda Branding and Entateiment imeandaa tamasha la vyuo vikuu na vyuo vya kati ambalo litawashirikisha wanavyuo zaidi ya 2,000 ...
Mbeya. Jiji la Mbeya limeanza kuchukua hatua za kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu kutokana na watu wanaougua ugonjwa huo kufikia 22. Hatua hizo ni pamoja na kufunga visima vya maji, mama ...