Prof. Mkenda amesema, “Kuendesha taasisi kama hii (Rombo Unity), sio jambo rahisi, misukosuko mliyopitia naifahamu, kwa sababu mimi nilikuwa nafuatilia. “Kenya tangu zamani walikuwa na harambee za ...
“Wakati nilipokuwa sichezi kilikuwa kipindi cha changamoto ya kazi yetu. Kucheza na kutocheza kila mchezaji huwa anapitia, ila mimi naamini nimemwomba sana Mungu na kufanya sana mazoezi na muda ...
KAMA ulibahatika kutazama tamthilia miaka ile ya 1990 hadi 2000 kwenye Runinga , jina la Julieth Samson ‘Kemmy’ sio geni masikioni na hata sura yake. Hata hivyo kumeibuka sintofahamu inayoendelea kwa ...
“Unakumbuka hata kipindi kile wakati wananihojihoji na kunisemasema, aliwaambia muacheni Maswi niulizeni mimi. Ni watu wangapi wenye weledi na uthubutu wa kusema hivyo,” amesema Maswi. Amesisitiza ...
“Kaka yangu Lukuvi yeye ana kazi na mimi mtaisikia baadaye lakini ninamvuta Ikulu kazi yetu ni kuwasimamia nyie, kwa sababu nikiwatazama hapo wote wanakaribia kustaafu bado miaka miwili, wengine mna ...
Ni kweli Rais Putin anataka kukutana na mimi” alisema Trump katika kongamano huko Arizona nchini Marekani. SOMA: Trump ajitapa kumaliza vita vya Urusi, Ukraine Trump, ambaye anatarajia kurudi Ikulu ya ...
kwani moja ya faida iliyopatikana ni viongozi wote waliokuwa uhamishoni kurejea nchini na kufutiwa kesi zilizokuwa zikiwakabili ikiwemo mimi na Joseph Mbilinyi,” alisema Mbowe. Aliongeza: “Kupitia ...