"Juzi, kutwa nzima maji hayakuwapo. Hapa si unaona hata ukingaji ulivyo, sivyo ambavyo huwa yanakingwa kwenye gari, huo mpira ulipaswa kuingizwa kwa juu kule, yana presha ndogo, hapa sina uhakika kama ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital KAMPUNI namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Betika imezindua rasmi Kampeni yake kubwa ya "Mtoko wa Kibingwa" kwa Msimu ...