SERIKALI imewataka Watanzania kuiunga mkono Timu ya Soka ya Taifa (Taifa Stars) ili iweze kutwaa ubingwa wa mashindano ya ...
Kimsingi klabu hizi zote zinaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye michuano hiyo ya kimataifa inayoandaliwa na CAF, kufanya vizuri kwa klabu hizo ni sifa kwa Ligi yetu na nchi kwa ujumla. Kutokana na ...
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo wanaanza kikao chao cha siku mbili ambacho pamoja na mambo ...
DODOMA; NI Stephen Wasira. Pengine hivyo ndivyo unavyoweza kujibu lile swali la nani atakuwa Makamu Mwenyekiti wa ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza kuendeshwa kwa “mizuka” au ni uthibitisho wa mahaba makubwa ambayo wajumbe wa Mkutano Mkuu ...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa amewasilisha hoja kwa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Mwenyeiti ...
JANA Tanzania imewakilishwa vyema na staa wa zamani wa Taifa Stars, Mrisho Ngassa kule Nairobi, Kenya kulikokuwa na droo ya fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (Chan) 2024. Mbele ya ...
Mkurugenzi wa Mkuu wa Afya wa Kenya Dkt Patrick Amoth amesema taifa fa hilo liko katika hali ya tahadhari baada ya ugonjwa unaoshukiwa kuwa wa Marburg kugunduliwa katika tiafa jirani la Tanzania.
Vuvuzela mkononi, bendera ya Msumbiji mgongoni mwake ... na mafanikio yetu kama watu," alitangaza jioni ya ushindi wake. Tutakuwa taifa tu tukijua kusikilizana. " Katika mkesha wa kuapishwa ...
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imewashukuru wateja wake kwa kushiriki katika kampeni ya 'Twende Kidigitali Tukuvushe Januari' na kuwahimiza kuendelea kutumia ...
Idara ya Hali ya Hewa ya Taifa inasema onyo la “hali ya hatari zaidi” limetolewa kwa sehemu za Los Angeles na maeneo jirani kwa saa 12 kuanzia saa tisa usiku jana Jumatano. Mioto mikubwa minne ...
Matumizi ya watalii pia yalifika rekodi ya juu. Idara ya Utalii ya Taifa ya Japani inakadiria kuwa watalii wa kigeni zaidi ya milioni 36.8 walitembelea nchi hiyo mwaka 2024. Hiyo ni ongezeko la ...