37# Abdulrazack Hamza, angeweza kuipatia Simba bao katika dakika hii, lakini mpira aliounganisha kwa kichwa kutokana na faulo ya Jean Charles Ahoua, ulipaa juu lango ... mpira ukampoteza maboya kipa, ...