Huku muda mwingi wa utumishi wake akiutumia katika sekta ya haki serikalini na mahakamani. Serikalini Jaji Kipenka alihudumu katika nafasi mbalimbali ikiwamo Wakili wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ...
Ogopa sana kuwa mwanamume wa aina hizi tatu, mwanamume asiyekuwa na pesa, mwanamume asiyeweza kuongoza hisia zake na mwanamume mwenye akili za ujana. Ogopa kuwa mwanamume asiyekuwa na pesa kwa sababu ...
akiwa kwenye kampeni za uchaguzi utakaofanyika mwezi Novemba mwaka huu. Harris amekuwa akitoa wito kwa wapiga kura kwa kusisitiza ujana wake ikilinganishwa na mgombea urais Donald Trump wa chama ...
Tyson, ambaye aliwahi kuchukuliwa kama bondia bora zaidi duniani enzi za ujana wake, amerejea katika mazoezi kwa ajili ya mpambano huo uliopangwa upya. Mapema wiki hii, kupitia mitandao ya kijamii ...
Katika misingi yake ilikusudia kulinda Uhuru wa Taifa, lakini sio tu Tanzania, bali na mataifa ya jirani ambayo kwa wakati ule yalikuwa katika tawala za kikoloni, misingi yake ililala katika ukombozi ...
RAUNDI ya kwanza ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya imekamilika na sasa tunajaribu kuangalia namna mambo yalivyokuwa. Muundo ni mpya msimu huu huku timu zikiwa zimeongezeka hadi 36 badala ya 32 ...
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu hii leo imechapisha ripoti kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu huko Gaza, tangu Hamas washambulie Israeli Oktoba 7, 2023, jambo lililosababisha ...
Msaada huo utasaidia familia 30,000 na watoto 15,000 katika shule za wilaya sita kuondokana na madhara ya ukame huo uliosababishwa na El Niño. "Mradi huu wa urejeshaji kutokana na ukame utasaidia ...
Hata hivyo, kuna watu wanafurahia. Wanapenda burudani hizo. Yapo mashindano mengi ya aina hiyo. Fikiria kuna hadi mbio za kwenye bwawa la matope yanayonuka na mkimbiaji humbeba mwenza wake (mume au ...
Katika makala haya tunajadili kilichotokea nchini Botswana ambapo Chama tawala Democratic Party, ambacho kimekuwa madarakani tangu enzi za ukombozi kwa maika 58, kimekubali kushindwa na ...
Katibu Mkuu wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani Goodluck Nkini amesema watawakumbuka wapendwa wao kwa kazi nzuri walioifanya enzi za uhai wao kwani kanisa lilijivunia uwepo wao na daima watakumbukwa.