MKOANI Dar es Salaam, viwango vya juu vya joto kwa wiki moja mfululizo vililkuwa juu, kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya ewa ...
KOCHA wa Coastal Union, Juma Mwambusi amesema wanahitaji nidhamu bora ya kiuchezaji wakati kikosi kikijiandaa kuivaa Yanga ...
Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati ...
Mtanzania REA yaendelea kutekeleza mkakati wa taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo - Elimu na Teknolojia ...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia ...
‘Mgeni njoo, mwenyeji apone.’ msemo huu unaelezea hali ilivyo jijini Arusha ambapo wageni kutoka maeneo mbalimbali wameanza ...
Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu ...
KAMATI ya Kitengo cha Walimu Wanawake Taifa kutoka Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetoa msaada wa taulo za kike, sukari ...
ARUSHA: SERIKALI ya Tanzania kwa mara ya kwanza imepokea faru weupe 18 kutoka Afrika Kusini kwa lengo la kuimarisha shughuli ...
KIVUMBI cha Kombe la Shirikisho (FA) kinaendelea tena leo kwa mechi sita tofauti, wakati timu 12 zitakapokuwa zikiwania ...
Wataalamu walimueleza kuwa sababu ya changamoto hiyo ni kuwa hakuzingatia baadhi ya dawa muhimu katika kipindi cha ujauzito ...
Jumuiya ya Afrika Mashariki imeitolea mwito Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kufanya mazungumzo na pande zote zinazohusika na mzozo wa mashariki mwa nchi hiyo wakiwemo M23 wanaoungwa mkono na ...