Rais Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania ni Msimamizi wa Mpango Maalum wa Nishati Safi Afrika Amesema hayo wakati ...
Katika hatua ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, wachoma nyama mkoani Arusha wameahidiwa kupewa majiko yanayotumia ...
‘Mgeni njoo, mwenyeji apone.’ msemo huu unaelezea hali ilivyo jijini Arusha ambapo wageni kutoka maeneo mbalimbali wameanza ...
Wananchi Jijini Arusha wamevutiwa na bidhaa mbalimbali za Nishati Safi ya Kupikia na wameipongeza Serikali kwa kuona umuhimu ...
KAMATI ya Kitengo cha Walimu Wanawake Taifa kutoka Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kimetoa msaada wa taulo za kike, sukari ...
KATIKA kusherehekea Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani ambayo kitaifa imefanyika jijini Arusha jana, Mkuu wa Utawala ...
Mtanzania REA yaendelea kutekeleza mkakati wa taifa wa matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo - Elimu na Teknolojia ...
MTAALAMU wa Uchumi na Mkufuzi wa Uchumi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustino Tanzania (SAUT), Dk. Isaac Safari amesema kupaa ...
KOCHA Mkuu wa TMA FC ya jijini Arusha, Mohamed Ismail 'Laizer', amesema moja ya changamoto kubwa kwenye kikosi hicho ni ...
KIUNGO mshambuliaji wa Biashara United, Pascas Wagana amesema wana kazi kubwa ya kukipambania kikosi hicho kubakia Ligi ya Championship, baada ya malengo ya awali ya kuirejesha Ligi Kuu ...
Dkt. Zaituni amabaye ni rais wa madaktari wanawake nchini Tanzania amekuwa daktari bingwa mbobezi kwa takribani miaka 20.
Kiongozi wa upinzani nchini Kenya, Raila Odinga , yupo kwenye harakati za mashauriano ya kisiasa na wafuasi wake, kabla ya kutangaza mustakabali wake wa kisiasa baada ya kukosa uenyekiti wa Tume ...