Viongozi wa mataifa ya Ulaya wameitisha mkutano wa dharura mjini Paris nchini Ufaransa wiki ijayo ili kujadili hatma ya vita ...
MBUNGE wa Vwawa (CCM), Japhet Hasunga amewataka Watanzania kula vizuri akisisitiza siyo anasa kama watu wanavyodhani bali ni ...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ametoa wito kwa Watanzania, kuendelea kuiombea nchi pamoja na Rais ...
WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imesema itaendelea kutoa mafunzo endelevu kwa walimu kazini, na kuwafikia wote ...
JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia madereva, John Peter (45), Mkazi wa Manyire wilayani Arumeru na Jafari Shirima ...
BINGWA Mbobezi wa Upandikizaji wa Nyonga na Magoti kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Mlonganzila. Hamis, ameelezea ...
SERIKALI imesema kwa sasa haijaingia makubaliano na mwekezaji yeyote kwa ajili ya kujenga na kuendesha Bandari ya Bagamoyo.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Hamad Yusuf Masauni, amesema licha ya uwapo wa sera, sheria, ...
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH)-Mloganzila, imesema idadi kubwa ya wanaofanyiwa upandikizaji wa nyonga na magoti, ni wenye ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameipa klabu ya Simba ‘mtihani’ wa kuhakikisha inatwaa ubingwa wa kombe la Shirikisho barani ...
UCHAGUZI wa Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), ambao umekuwa ukifuatiliwa kwa karibu siku za hivi karibuni, ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果