Zanzibar ni mkusanyiko wa visiwa vinavyoelea ... Tarehe 22 ya mwezi huu, Jeshi la Polisi Tanzania lilithibitisha tukio la kushambuliwa kwa mapanga kwa wakereketwa watatu wa Chama Cha Mapinduzi ...
Maelezo ya picha, Waziri wa Ulinzi wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi alipitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya chama cha CCM kugombea urais wa Zanzibar 5 Septemba 2020 Filimbi ya uchaguzi wa vyama ...