Mwanamke aliyebuni siku ya mama, ambayo huadhimishwa katika nchi nyingi Jumapili ya pili ya mwezi Mei, Wakati Elizabeth Burr alipopokea simu siku chache zilizopita kutoka kwa mtu aliyekuwa ...
Kila mtu anataka kumpa mtoto wake mwanzo bora zaidi maishani, na kunyonyesha ni njia mojawapo ya kusaidia kufikia hili. Kuanzia mwanzo, mwili wa mama mpya hutoa lishe yote ambayo mtoto wake anahitaji.
Mama yake Megumi, Yokota Sakie, alishiriki katika maandamano jana Ijumaa usiku jijini Tokyo. Sakie alisema binti yake alitekwa licha ya kwamba hakuwa amefanya jambo lolote baya, na kwamba miaka 47 ...