Lakini takwimu za sasa kutosha mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro NCAA, wakazi jamii ya wamasai wamefikia 100,000. Ikiwa ni ongezeko kubwa kulingana na mahitaji ya binadamu, mifugo na ...
Umoja wa mataifa (UN) umeitaka Tanzania kuondoa maafisa wake wa usalama Loliondo ili kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu na unyanyasaji unaodaiwa kufanyika katika eneo hilo ili kuruhusu ...