Maelezo ya sauti, Tanzania:Serikali haijakwenda kuwaondoa Wamasai Loliondo au Ngorongoro’-Msigwa 16 Juni 2022 Msemaji wa serikali ya Tanzania Gerson Msigwa amekanusha madai kwamba serijkali ...
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa akizungumza na BBC amesema serikali haijaenda kuwaondoa Wamasai Loliondo au Ngorongoro ila ... tunashughulika na watu walio ndani ya mipaka yetu pekee.