Katiba ya Zanzibar ilifanyiwa marekebisho makubwa na kutoa toleo la mwaka 2010, lakini mpaka hivi leo Katiba ya JMT, imegoma ...
Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amesema kuna utitiri wa mifumo ya kodi ambao siyo tu unakatisha ...
Vijana wanaodaiwa kukosa maadili mkoani Kaskazini Unguja, Tanzania wakijihusisha na vitendo ... na chama cha waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZANZIBAR ambapo kwa miezi mitatu ya mwanzo wa ...
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha Shilingi bilioni 30 kwa ajili ya ujenzi wa Taasisi ya Uhasibu ...
Zanzibar ni mkusanyiko wa visiwa vinavyoelea katika Bahari ya Hindi. Miongoni mwa visiwa hivyo ni vile vya Unguja na Pemba ambavyo ... Jeshi la Polisi Tanzania lilithibitisha tukio la kushambuliwa ...
RASIMU ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imeeleza kuwa in [1]aongozwa na misingi sita, ikiwamo umoja na kwamba kila ...