Jimbo moja nchini India limependekeza kumuorodhesha tausi miongoni mwa ndege waharibifu ,kulingana na vyombo vya habari. Waziri wa kilimo katika eneo la Goa Ramesh Tawadkar amesema kuwa tausi ...
Kulingana na wanasayansi, aina maalumu ya hisia huwasilishwa kwa tausi jike kupitia sauti hii. Dk. Roslin amechunguza makundi ya ndege hawa katika maeneo mengi. Alifanya utafiti katika mbuga za ...