Maelezo ya picha, Waziri wa Ulinzi wa Tanzania Dkt Hussein Mwinyi alipitishwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya chama cha CCM kugombea urais wa Zanzibar 5 Septemba 2020 Filimbi ya uchaguzi wa vyama ...
Kisiwa cha Zanzibar nchini Tanzania kitashiriki kwenye uchaguzi mkuu mara mbili, ifikiapo Jumanne tarehe 27 mwezi Oktoba na Oktoba 28. Uchaguzi huo ambao utakuwa wa kihistoria utafanyika kwa siku ...