Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini Burundi umetoweka kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Lakini vizazi vipya vimeamka na kusema kutoweka kwa taarabu ni kutokomeza ...
Muziki huo wa taarabu asili yake ni Zanzibar na maeneo ya pwani za Afrika mashariki kwa ujumla. Maryam anasema hakuweza kujifunza kupiga chombo hicho cha taarab akiwa mtoto kwa sababu ya masharti ...