Utamaduni wa muziki wa mwambao -taarab-, ambao ulikuwa ukichanua nchini ... na kusema kutoweka kwa taarabu ni kutokomeza utamaduni wa kiswahili nchini humo , jambo ambalo halikubaliki.
Maelezo ya sauti, Mzee Yusuph: Miaka 4 baada ya kuachana na Taarab je uamuzi ulikuwa wa sawa? Ni miaka minne sasa tangu aliyekuwa msaanii maarufu wa muziki wa mwambao wa pwani yaani taarabu ...