Muziki huo wa taarabu asili yake ni Zanzibar na maeneo ya pwani za Afrika mashariki kwa ujumla. Maryam anasema hakuweza kujifunza kupiga chombo hicho cha taarab akiwa mtoto kwa sababu ya masharti ...
Tangu mwanzo wa karne ya ishirini Taarab imekuwa maarufu kisiwani Zanzibar, na Mwambao wa Afrika Mashariki kwa jumla. Mtindo wa kucheza ala kama vile oud, ganuni na violin pamoja na mashairi yake ...