Taarab Asilia ni Miongoni mwa Miziki ya kale zaidi katika Mwambao mwa Bahari ya Hindi, Zanzibar Taarab Hertage Ensemble ni ...
Mwanamuziki na mwalimu wa sanaa katika Chuo cha Muziki DSMA (The Dao Country Music Accademy) kutoka Zanzibar, Tryphon Evarist ...
Mahadhi ya muziki wa taarab asilia kwa miaka mingi umekuwa maarufu katika pwani ya Afrika Mashariki. Hata hivyo muziki huo unadaiwa kupoteza umaarufu wake kutokana na kuingia kwa mfumo mpya wa ...