Leo Jumamosi, Mei 8, mechi ya soka ya watani wa jadi Tanzania, Simba na Yanga itachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam ikiwa ni ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania msimu huu ...
Simba imemaliza unyonge dhidi ya Yanga kwa mwaka huu baada ya kuibuka ... Azam uliochezwa kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma leo Kiungo Taddeo Lwanga, aliihakikishia ushindi Simba kwa ...
Pamba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fred Felix ‘Minziro’ wanai karibisha Simba wakiwa na rekodi ya kupata ushindi wao wa kwanza chini ya nahodha huyo wa zamani wa Yanga baada ya kuifunga Foun tain Gate ...