Shairi iliyoandikwa na mtunzi wa mashairi maarufu wa Ufaransa Charles Baudelaire akitangaza kujitoa uhai wake imeuzwa kwenye mnada kwa dola elfu 267. Shairi hilo liliandikwa tarehe 30 mwaka 1845.
Nyaraka za kale za mwaka 1728 zinaonyesha shairi linaloitwa Utendi wa Tambuka ambalo limeandikwa kwa Kiswahili kutumia maandishi ya Kiarabu. Kutokana na kushawishika na utawala na kikoloni kutoka ...
Mwaandishi mmoja nchini Myanmar amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kutunga shairi kwa kuchora sura ... BBC haihusiki na taarifa za kutoka mitandao ya nje. Soma kuhusu mtazamo ...