Amesema kufikia sasa takriban asilimia 80 ya wanyama pori waliokuwa wamehama wamerejea Serengeti na hasa eneo la Ndutu, tayari kuzaa. "Ni lazima warejee Ndutu ambapo huwa wanazaa. Ndio maana huwa ...