Maonyesho ya moja kwa moja kwa asilimia mia, na asilimia mia moja muziki wa kiafrika. Nalizungumzia tamasha la sauti za Busara nchini Tanzania, kisiwani Zanzibar. Ni sehemu pekee ya wanamuziki wa ...
Matokeo ya uchaguzi kisiwani Zanzibar yamefutiliwa mbali.Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi kisiwani humo Jecha Salum Jecha amesema kuwa uchaguzi huo haukuwa wa haki na kwamba kulikuwa na ukiukwaji wa ...
Zikiwa zimepita wiki tatu tangu kufanyika kwa uchaguzi wa Chama cha Wananchi (CUF), Baraza Kuu la Uongozi limewachagua ...