Chanzo cha picha, Ikulu Tanzania Akizungumza katika kongamano ... ajenda ya kitaifa ni moja, mnalinganisha Magufuli na Samia hawa watu ni kitu kimoja.'' ''Awamu ya sita haikutokana na uchaguzi ...
Lakini ukichambua hotuba ya Dodoma sambamba na ile ya siku ya kuapishwa Ikulu, ni dhahiri kuwa kuna masuala ya enzi ya Rais Magufuli yatabadilishwa. Hiyo ndiyo tafsiri yangu ya wito wa Mama Samia ...