Tayari ndege hiyo imeshatua salama katika kitoa chake cah kwanza nchini Namibia. Inatarajiwa safari hiyo ya kutoka mji wa kusini wa Cape Town mpaka nchini Misri sawa na umabli wa kilomita 12,000 ...
Video hiyo inakuja baada ya msemaji wa Netanyahu kusema ndege isiyo na rubani ilirushwa kuelekea nyumbani kwa Waziri Mkuu huko Caesarea, kaskazini mwa Israel, ingawa hakuwa nyumbani wakati huo na ...
Mobutu Sese Seko amerudi nyumbani baada ya kuwa uhamishoni kwa muda wa miaka sita. Manda Mobutu, alipowasili kwenye kiwanja cha ndege cha Kinshasa akitokea Paris, Ufaransa amelakiwa na mdogo wake ...