Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa wafanyabiashara wa soko kuu la Kariakoo kwa hasara kubwa waliyoipata kutokana na moto uliokumba soko hilo. Rais Samia amevitaka vyombo vya ...
Ingawa soko linaloboreshwa sasa baada ya kuungua moto Julai 2021 litakuwa na wafanyabiashara zaidi ya 2,300, kwa makadirio ya macho eneo zima la Kariakoo lina wafanyabiashara wakubwa, wadogo na ...