Nchini Kenya takriban wagonjwa 490 wamethibitishwa kuwa na virusi vya corona wengi wao wakipatikana katika mji mkuu wa Nairobi na mji wa Mombasa. Cha kushangaza ni kwamba maambukizi mapya ...
Sauti tamu za watoto ndizo zinazokukaribisha katika kijiji cha Ujamaa, eneo bunge la Likoni, Mombasa, Kenya Wakati huu ambapo janga la Corona limerindima na kulazimu shule kufungwa nchini Kenya ...