Fuvu la Chifu Mkwawa limewekwa ndani ya sanduku la kigae katika jumba la ukumbusho la Mkwawa huko Kalenga, Tanzania ya kati. Lakini kama taji, awali lilitundikwa katika nyumba ya afisa wa kikoloni ...
Spika atakayepatikana atakuwa wa saba tangu Uhuru - akiwa ametanguliwa na Chifu Adam Sapi Mkwawa, Chifu Erasto Mang'enya, Pius Msekwa, Samuel Sitta, Anne Makinda na Job Ndugai. Zipi ni sifa za ...