Swali la ikiwa kumeza tembe hizi huleta faida au la ni la kawaida katika ofisi za daktari, anasema Croco. "Jibu linaweza kuwa katika lishe sahihi na ulaji sahihi wa Amino acid kupitia vyakula.
Kimsingi, tulikuwa tunawanyamazisha," anasema. Maelezo ya picha, Llwandle Mkhulisi wa Afrika Kusini anashikilia kuwa alipewa "pesa za damu" kwa dada yake Pumzile, ambaye alikufa katika ajali hiyo.