Mbilia bel maarufu Malkia wa Rhumba barani Afrika , ni msanii wa kwanza wa kike kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo aliyejizolea umaarufu mkubwa miaka ya sabini na themanini.