Uingereza inapojiandaa kuondoka kutoka kwenye Umoja wa Ulaya mwishoni mwa mwezi Machi, wakuzaji wa maua nchini Kenya wanafuatilia kwa karibu yanayojiri. Hii ni kwa sababu jinsi Uingereza ...
Usiku usio na mwezi katika mji wa Naivasha, kando ya ziwa nchini Kenya, Anne ameketi ndani ya nyumba yenye vyumba viwili, akiwa amechoka baada ya kazi ngumu ya kuchuma na kupanga maua ya waridi.