Ken Mungai wa BBC ametembelea maeneo ya wafugaji nchini Kenya na kuona jinsi wanavyokabiliana na tatizo la maji. Maji Kenya Hizi ni nini? Mhubiri Abu Qatada aachiliwa huru ...
Bwawa kubwa lililojengwa nchini Ethiopia limesababisha upungufu mkubwa wa maji kwenye ziwa Turkana kaskanzi mwa Kenya. Hali hiyo pia imetishia maisha ya takriban watu 500,000 ndani ya nchi hizo ...