Wa Maasai wana historia ya kupoteza ardhi yao nchini Tanzania tangu wazungu walipowahamisha kutoka mbuga ya Serengeti mwaka 1959. Mapema mwezi huu, Bi Tenemeri, akiwa amejifunga shuka yake ...
Wanyama hao walianza kuvuka kutoka Hifadhi ya Wanyama ya Maasai Mara upande wa Kenya na kuingia katika Mbuga ya Taifa ya Serengeti nchini Tanzania, takriban mwezi mmoja mapema kuliko miaka ya awali.