Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho. Viongozi wa upinzani, akiwemo Edward Lowassa wa Chadema, wametangaza ...
Chanzo cha picha, KAMPALA UNIVERSITY Unaweza kujiuliza maandamano yafanyike Kibera au Mathare huko Nairobi lakini Dar es Salaam, Arusha, Tanga na miji mengine ya Tanzania ipatwe na msiba?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka ...
Rais mpya wa Georgia Mikheil Kavelashvili, ambaye ni mkosoaji mkubwa wa nchi za Magharibi, ameapishwa leo licha ya wiki kadhaa za maandamano. https://p.dw.com/p/4oelW ...
Katika taarifa yake Sharif amekosoa maandamano hayo akisema si ya amani na kuyataja kama ya "itikadi kali," yenye "malengo maovu ya kisiasa." Waandamanaji hao walipora magari na kuteketeza kibanda ...
Kinara wa upinzani Venancio Mondlane, ametishia kuitisha maandamano zaidi ikiwa baraza la kikatiba litaamua kuthibitisha matokeo hayo, ambapo mgombea wa chama tawala Daniel Chapo alipata asilimia ...