Muungano wa vyama vya upinzani nchini Tanzania umeahirisha maandamano ya kitaifa ambayo yalikuwa yamepangiwa kufanyika kesho. Viongozi wa upinzani, akiwemo Edward Lowassa wa Chadema, wametangaza ...
Chanzo cha picha, KAMPALA UNIVERSITY Unaweza kujiuliza maandamano yafanyike Kibera au Mathare huko Nairobi lakini Dar es Salaam, Arusha, Tanga na miji mengine ya Tanzania ipatwe na msiba?
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania kimetishia kuanzisha maandamano makubwa zaidi, tangazo linalokuja baada ya kutuhumu mamlaka kwenye taifa la Afrika Mashariki kwa kuwauua na kuwateka ...
Maandamano yameshuhudiwa nchini Syria, kulaani kitendo cha kuteketezwa moto kwa mti maalum wa kuashirikia sikukuu ya Krismasi, wakati huu uongozi mpya nchini humo ukishinikizwa kulinda haki za ...
Kukamatwa kwake kulizua maandamano ya wafuasi wake katika mji mkuu Dhaka na mji wa Chittagong. Polisi wamesema wakili muislamu aliuliwa wakati wa maandamano nje ya mahakama ya mjini Chittagong.
Katika taarifa yake Sharif amekosoa maandamano hayo akisema si ya amani na kuyataja kama ya "itikadi kali," yenye "malengo maovu ya kisiasa." Waandamanaji hao walipora magari na kuteketeza kibanda ...