Black Hawk Down', ni jina la filamu ya Hollywood, limekuwa neno maarufu kwa maafa ya kijeshi ya 1993 nchini Somalia.
Je, mtandao wa barabara zinazovuka kote Kenya umekuwa mitego ya vifo? Kati ya 2020 na 2021 vifo vya ajali za barabarani nchini Kenya viliongezeka zaidi ya asilimia 20. Mwaka jana, zaidi ya 4500 ...