Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) siku ya Jumatatu imeshutumu Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kusindwa kuchukuwa ...
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) siku ya Jumatatu limelaani uporaji wa maghala yake mwishoni mwa wiki hii iliyopita ...
Leo Oktoba 12, Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Afrika na dunia wanamkumbuka mwanamuziki nguli na kiongozi wa bendi ya TPOK Jazz, Franco Luambo Luanzo Makiadi aliyefariki dunia miaka 35 iliyopita ...
Soma Pia: Kongo: Kundi la M23 laua watu watano huko Masisi Kwa upande wake Umoja wa Afrika umehimiza "kusitishwa mara moja" kwa mapigano makali mashariki mwa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Rais Cyrill Ramaphosa wa Afrika Kusini alizungumza na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, kuhusiana na hali ya mashariki mwa Kongo, ambako waasi wa M23 wanaaminika kuungwa mkono na serikali ya Kigali.
Kwa muda usiokuwa chini ya miongo mitatu sasa, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo kumekosa utulivu na kushuhudiwa mauaji ya kutisha baina ya vikundi vinavyopingana na Serikali.
Mkufunzi wa timu ya Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Sebastien Desabre anaamini nchi za Afrika zinahitaji kuboresha viwango vya viwanja vyao iwapo zinataka moja ya timu zao kushinda Kombe la Dunia.
VIONGOZI wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamesema njia sahihi ya ...
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo,Said Mshana, amempokea Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Moussa Faki Mahamat, aliyewasili nchini Tanzania alfajiri ya Februari 8, 2 ...
SADC na EAC wameonesha nia thabiti ya kutaka kujenga heshima ya ukanda kwa kujitoa kuhakikisha amani inapatikana DRC.