Kilimo cha parachichi kilianza Morocco mapema miaka ya 2000, na sasa Morocco ndiyo nchi ya tisa kwa kuuza nje matunda hayo. Al Kasimu anasema parachichi limekuwa tunda maarufu sasa. ZaaZaa ...
Chanzo cha picha, Getty Images Kama ilivyo kwa kilimo cha kisasa, mashamba mengi ya parachichi yanategemea sana mbolea na mafuta, na hivyo kuchangia kuongezeka kwa uzalishaji wa gesi chafuzi.